Thursday, January 23, 2014

Big.Com ft Sammy-B ~Tofauti (official video)

Ni mda mreefu umepita, na maswali mengi yalikua yakiuliza ni lini video ya "tofauti" ya kwake Big.com akiwa na Sammy B itaachiwa rasmi...!

Kutoka Shy town mpaka Dar city, na editing ikafanywa India na mnyamwezi kutoka Shy town Anayeitwa Berry (Hip-Art), hiki ndicho mlichokua mkikisubiri...


#Just for tha Hood ...!!

#Just for Revolution...!

Sunday, January 5, 2014

J Cole: I let Nas Down...

Hakuna jambo baya kama kumuangusha mtu aliyekushawishi na kukuvutia kufanya jambo fulani, ukatamani kufanya kama yeye, au katika kiwango cha juu kuzidi hata yeye, lakini bado mtu huyo akawa kama mungu mtu kwako...
Hii ni "Loyalty" inayoonyeshwa na J Cole, mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, akiwa anajilaumu na kujuta kwa kushindwa kumconvice Nas kwa kile alichokifanya...
tangu Nas anatoka na kufanya Game, Cole amekuwa akimfuatilia kwa kariibu sana na nnaweza kusema bila Nas inawezekana leo asingekuwepo J Cole katika Hip Hop.
Hii ilipokelewa kivingine na kinara wa Hip Hop Nas, kwani alisema kua, hakumuangusha j bali kitendo cha J kimemfanya ajisikie mwenye furaha, na kumuita j kua ni young King anayekuja....
Baada ya Nas kusikia jinsi J alivyojisikia vibaya kutokana na hatua ya Nas kutokubali ngoma zake, aliamua kujibu kwa ngoma iliyoitwa "Let nas down rmx"

"While you was writing down my rhymes, I was just tryna show you that if you say what's in your mind, you could stand the test of time/Now I'm playing Born Sinner loud," Nas raps on the track. "You made your nigga Nas proud. So you ain't Nas let down, it's just part of the game, becoming a rap king my nigga /You ain't let Nas down."
"How that sound? Here's the crown, pass it to you like nothin'/You ain't let Nas down."

Unaweza kuzipakua (kudownload ) kupitia link ya Mp3 hapo juu.
..
"Long live the idols,
may never be your rivals...
Pac was like jesus,
Nas wrote the bibble..."