Tanzania's respected
Orodha ya wana Hip Hop mahiri Tanzania (The top 15 best hip hop Mc's and crews in Tanzania)
tukisema hip hop Tanzania,
tunawaongelea watu hawa.
01. Kwanza Unit
02. Mr II a.k.a Sugu
03. Hard Blasters Crew (H.B.C)
04. X-Plastaz
05. Gangwe Mobb
06. Professor Jay a.k.a daddy
07. Juma Nature a.k.a kiroboto
08. Sollo Thang Ulamaa a.k.a mtravellah
09. Dollasoul a.k.a Balozi
10. Daz Nundaz
11. East Coast team
12. Wateule
13. Afande Selle
14. Fid Q
15. Watengwa
takwimu hizi ni kutokana na uchunguzi niliofanya tangu game linaanza mpaka sasa lilipofikia
na mpangilio ni kutokana na takwimu zangu na si vinginevyo.
Hip Hop for life!!
Subscribe to:
Posts (Atom)
No comments:
Post a Comment
type in here..