Muungano huu ni kutokana na pale NAS alipotoa kibao "Hip Hop is dead", akiwa anataka kuelezea mapungufu yaliyopo sasa katika Hip Hop.
KRS One naye alijibu kwa kusema "Hip Hop lives" akitaka kuelezea ni jinsi gani Hip HOP inaendelea Kuiteka dunia na uwepo wake katika Hii Sayari.
Baada ya kuonekana kama kuna bifu flani, ndipo walipoungana na kuunganisha mawazo yao na kutoka na ngoma "tribute to Nas".
Pata kuisikiliza usikie ni kipi walichokisema.
No comments:
Post a Comment
type in here..