Ni mda mreefu umepita, na maswali mengi yalikua yakiuliza ni lini video ya "tofauti" ya kwake Big.com akiwa na Sammy B itaachiwa rasmi...!
Kutoka Shy town mpaka Dar city, na editing ikafanywa India na mnyamwezi kutoka Shy town Anayeitwa Berry (Hip-Art), hiki ndicho mlichokua mkikisubiri...
Hakuna jambo baya kama kumuangusha mtu aliyekushawishi na kukuvutia kufanya jambo fulani, ukatamani kufanya kama yeye, au katika kiwango cha juu kuzidi hata yeye, lakini bado mtu huyo akawa kama mungu mtu kwako...
Hii ni "Loyalty" inayoonyeshwa na J Cole, mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, akiwa anajilaumu na kujuta kwa kushindwa kumconvice Nas kwa kile alichokifanya...
tangu Nas anatoka na kufanya Game, Cole amekuwa akimfuatilia kwa kariibu sana na nnaweza kusema bila Nas inawezekana leo asingekuwepo J Cole katika Hip Hop.
Hii ilipokelewa kivingine na kinara wa Hip Hop Nas, kwani alisema kua, hakumuangusha j bali kitendo cha J kimemfanya ajisikie mwenye furaha, na kumuita j kua ni young King anayekuja....
Baada ya Nas kusikia jinsi J alivyojisikia vibaya kutokana na hatua ya Nas kutokubali ngoma zake, aliamua kujibu kwa ngoma iliyoitwa "Let nas down rmx"
"While you was writing down my rhymes, I was just tryna show you that if you say what's in your mind, you could stand the test of time/Now I'm playing Born Sinner loud," Nas raps on the track. "You made your nigga Nas proud. So you ain't Nas let down, it's just part of the game, becoming a rap king my nigga /You ain't let Nas down."
"How that sound? Here's the crown, pass it to you like nothin'/You ain't let Nas down."
Ilikua ni ngumu sana kipindi harakati zinaanza,
watu wengine waliona ni kama masikhara pale walipoambiwa kua wasanii wote wa shinyanga waungane na wafanye tamasha ambalo halitakua na kiingilio (Bure kabisaa) kwa watu wote,
lengo na nia ni kusambaza ujumbe na vipaji vilivyosheheni shinyanga (Shy town).
Wengine walichukulia kama mzaha flani, na wengine wakiitikia kwa mdomo tu lakini kutimiza ikawa ni story ndefu, lakini hilo halikunivunja moyo wala kunikatisha tamaa katika mipango yangu ya harakati katika sehemu iliyonikuza na kunilea, na ninaapa kamwe siwezi kurudi nyuma wala kukatishwa tamaa na wasaliti ambao upeo wao ni finyu sana.
"Unapoamua kufanya harakati za mapinduzi ukubali kuumia, kuteseka, na hata kudharaulika maana watu hawaelewi thamani ya malengo na mipango iliyopo mpaka waone matunda yake ndio husadiki"
Big.com.
Big.com(The Black Incredible Gangster comrade) ni mwanaharakati aliye katika misingi ya Hip Hop, ambaye alikaa chini, yeye pamoja na Mack fe, Jereone kwa pamoja sana na steve kanyeph (Mwanapori),
na kuamua kuandaa jambo litakaloweka vijana na vipaji kutoka shy town sehemu moja, na hasa Hip Hop.
Harakati zilianza mtaa kwa mtaa, Mguu kwa mguu bila ya kua na udhamini wowote, mpaka siku ilipotimia ambapo show ilifanyika katika ukumbi wa ry misanga pasipo kua na kiingilio chochote.
show ilijumuisha waimbaji pia, michano ya Hip Hop na battles za maana kutoka kwa machizi wa kitaa.
Tamasha hilo ni muendelezo wa matamashha ambayo yamepangwa kua yakifanyika kila mwaka, lengo kuu na nia ni kuonyesha vipaji vyetu na kusaka heshima kwa jamii zinazotuzunguka.
"kwa nini msanii akitokea nje ya shy town anaonekana anajua sana na mzawa adharaulike ile hali vipaji vipo vya kutosha?" alihoji Big.com.
Nahitaji siku moja muziki unilipe (Utulipe) hata kama sio kwa pesa, heshima ni kitu muhimu zaidi kwa mtaa...
Viva shy town...
Viva shy town Music...
Viva Big.com!
Jina la Juliani ni geni sana masikioni kwa watu wengi ambao hawafuatilii muziki kiundani, lakini kwa wale wenye mapenzi ya kweli na muziki na wanaosupport mziki wa kweli, Juliani si jina geni kwao, na ni mmoja kati ya wanaharakati na wana Hip Hop mahiri waliosalia nchini Kenya, Africa na Duniani kwa ujumla.
Jina la juliani, na nyota yake ilianza kung'aa pale alipotoka na "bahasha ya Okampo" akitoa hisia zake hali ilivyo nchini Kenya kuhusu masuala ya uongozi na siasa kiujumla, haki na uhuru wa raia wa Kenya.
Kama umepata kusikia na kuyafuatilia mashairi yake, Juliani huongelea sana mambo ya siasa hasa za Kenya, akitoa taswira na picha halisi kuhusu vuongozi na maovu yanayofanywa na viongozi hao.
Kwa upande wake yeye anaiongelea kenya, lakini katika hali halisi, haya ni matatizo ya waafrika na hasa tanzania ambayo yanatukabili.
Hip Hop ni kuongelea ukweli wa mambo na matatizo ya jamii tunazoishi na kutuzunguka, na hili linanifanya nipende sana kumsikiliza juliani kwa sababu anasimamia ukweli huo na nguzo.
Kibao Chake "Utawala" ni wimbo unaosisimua na kuvuta hisia, kwani ameongelea ukweli na hali halisi ya viongozi, uongozi wetu, makosa tunayofanya sisi na yale yanayofanywa na viongozi wasio na weledi(wanasiasa feki).
"niko njaa hata siwezi karanga, hohe haaaheee, shaghalabaghala, niko tayari, kulipa gharaama, sitosimama maovu yakitawala..."
hayo ni baadhi ya maneno yanayopatikana katika wimbo huo "Utawala".
Have you ever heard of him?
Have you ever seen him?
They call him Immortal Technique,
the true nigga who sacrificed himself to defend the poor...
He never afraid to speak and talk when it comes the matter of truth....
Will you defend the truth?
will you stand for your rights?
Hivi, ulishawahi kujiuliza album nzima ya msanii yeyote ina stanza(bars) ngapi?
wimbo mmoja unakua na stanza ngapi?
kwa hesabu za haraka haraka ni kwamba, nyimbo nyingi za hip hop(za sasa), kila ubeti unakua na stanza 16(16 bars),
na kwa hesabu za haraka haraka wimbo mmoja unakua na stanza 48 kwa anayetunga beti 3(3 verses), na 32 kwa atungaye
beti 2(2 verses).
Hapa kwa hesabu za jumla, kama album ina nyimbo 10, jamaa anakua na stanza 480 kwa anayetunga verse 3 na 320 kwa anayetunga verse 2,
kwa hyo tukiweka mlinganyo unakuta stanza zinachezea kati ya 300 na 400.
Je, umepata kuzisikiliza au kuzisoma stanza 400(400 bars) zaTHe GaMe??
kwa ufupi, jamaa kaimba mashairi ya album nzima ndani ya wimbo mmoja, ambapo mashairi hayo yangeandikiwa wimbo mmoja mmoja wenye stanza 32 kila mmoja ungepata nyimbo zaidi ya 12....
hii ni changamoto sana kwa watu wanaofanya Hip Hop halisi, nikimaanisha wale wenye uzalendo na uchungu na mziki na utamaduni wetu wa hip Hop.
Nimeandika habari hii kutokana na uchungu nnaoupata kutokana na jinsi RAPPERS wa sasa wanaotaka kujifanya MC's, wakiweza kutumia beat ya Hip Hop bas wanajiita nao ni wana Hip Hop mahiri na wanaotumia mda wao kutunga sana mashairi....
nakupa task rahisi sana, wewe kama mwana Hip Hop, unaweza kuimba mashairi yote hayo ndani ya wimbo mmoja bila kupumzika?
Je,unaweza kuyakumbuka mashairi hayo?
Hip hip inahitaji kuitolea muda wa kutosha ili kuifikisha sehemu inayistahili....
keep it gangster.... Keep Hip Hop alive... Let the good music live...
Ni kwa kiasi kikubwa mziki wa bongo unaumiza,
na wasanii wengi wanakaa kimya wakihofia endapo tu watasema ukweli na kudai haki zao watakosa hata kile kidogo wakipatacho ingawa wananyonywa, hali ambayo imepelekea wengi wao kuishi maisha duni na ya umaskini wa hali ya juu.
P funk (majani) ameamua kusema ukweli na kuamua kujitoa na wanyonyaji hao (clouds fm) kwani wao ndio wanaoungamiza mziki wa bongo,wasanii na vipaji.
katika interview ambayo aliifanya, majani aliwapa makavu na kutoa tamko kua hatapenda kuona clouds wakipiga nyimbo zake(marufuku) zilizotengenezwa bongo record na za wasanii wote wa bongo record.
Hatua hii imenifurahisha na kunipa hamasa kua huenda muziki wetu (na hasa Hip Hop) utanusurika kutoka kwa hawa wanyonyaji, na hali itarudi kama zamani.
Hapo nyuma alianza Mr II (Sugu) alipoanzisha harakati hizo, akaungana na vinega na harakati ikapewa jina la antivirus, lengo na nia kuu ikiwa ni kuondoa unyonyaji unaofanywa na clouds fm wakiongozwa na ruge mutahaba.
Lady jaydee naye akafuatia na kuwapa makavu, lakini baadhi ya watu wakaanza kusema kua, wanatumiwa na baadhi ya watu kuweka vugu vugu la choko choko,
Je, majani naye (P funk) anatumiwa??
Tafakari na chukua hatua ili tuunusuru Muziki wetu na hasa Hip Hop. Mabadiliko ni wewe!!! Okoa HIP HOP!
Muungano huu ni kutokana na pale NAS alipotoa kibao "Hip Hop is dead", akiwa anataka kuelezea mapungufu yaliyopo sasa katika Hip Hop.
KRS One naye alijibu kwa kusema "Hip Hop lives" akitaka kuelezea ni jinsi gani Hip HOP inaendelea Kuiteka dunia na uwepo wake katika Hii Sayari.
Baada ya kuonekana kama kuna bifu flani, ndipo walipoungana na kuunganisha mawazo yao na kutoka na ngoma "tribute to Nas".
Pata kuisikiliza usikie ni kipi walichokisema.
Exclusive: Immortal Technique also updates "The Middle Passage" and explains delays.
Technique revealed information about his next few projects and provided an exclusive regarding a Rebel Armz album.
"I've got people playing instruments on this mothafucka," Technique said of his highly anticipated album, The Middle Passage. Technique continued by saying that he had to scrap two songs from the project recently because of issues clearing samples.
"I really wanted to go all out and have an organic sound but it's still Hip Hop. This doesn't sound like an Opera album or some crazy shit like that. We didn't go off the deep end but technically, I had to scrap two [songs]. What came out of that was also the idea that if 'The Martyr' was so successful - because we did over a million downloads for it - if 'The Martyr' was so successful, we're gonna have to have a 'Martyr 2' now. That unreleased song is gonna go on 'The Martyr 2.'"
Next, Technique shared that he has plans to release a collaborative project with Rebel Armz, a group of emcees that includes Poison Pen and Diabolic.
"I'll be able to put out The Middle Passage, 'The Martyr [2]' and me, [Poison] Pen, Diabolic and the rest of the crew have been kicking the idea around a lot about doing a Rebel Armz album and I think it's overdue. So I'm gonna say, since y'all like exclusives, that we are definitely gonna do it. This is the first time I'm saying it. The Rebel Armz album [with] Immortal Technique and the whole fuckin' squad is gonna happen. It's going down."
The Middle Passage has been delayed for several years. In 2010, Technique said he was working on the album, which was to be a "conceptual" project. By 2011, Technique explained that he hoped to release the album in the first quarter of the following year. “[It’s about] halfway done," he explained then. In that same year, Technique released "The Martyr" to critical praise and over a million downloads online. The Rebel Armz consists of various emcees including Technique, Chino XL, Swave Sevah andAkir.
The lyrics deal with the idea of hip-hop's death as artistically viable music, as explained below:
“
Everybody sounds the same, commercialize the game
Reminiscin' when it wasn't all business
It forgot where it started
So we all gather here for the dearly departed
”
Nas clearly decries the idea that hip hop has gone the way of commercialization, pledging to stay true to its origins, as in the last line of verse 1, where Nas mentions MC Shan and MC Ren, by saying So nigga, who's your top ten, is it MC Shan is it MC Ren.